Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA MIAKA 50 YA JWTZ : CHEKI PICHA HAPA

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jeneral Davis Mwamunyange.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya Rais Jakaya Kikwete kutunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na wapili kushoto ni waziri Mkuu Mstaafu John Malecela.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

BREAKING NEWZ; MADUKA KARIAKOO YAFUNGWA: SOMA HAPA===>

Picha hali Ilivyosasa kariakoo ambapo Wafanyabiashara wamefunga Maduka Yao ikidaiwa Kupinga matumizi ya mashine ya EFD..Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao 

ZAMARADI WA "TAKE ONE" AITIKISA BONGO: ATAJWA KUWA MTANGAZAJI WA

Hosti wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema.
Host wa Program ya Take One kupitia CloudsTV, Zamaradi Mketema ametangaza nia yake kuwa anataka kuasili mtoto ili kutimiza ndoto yake aliyokuwa nayo tangu akiwa mwanafunzi.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Zamaradi ambaye pia ni mwigizaji, alisema amekuwa na nia hiyo kabla hajajaliwa mtoto hivyo hata alipopata bado anataka kutimiza ndoto yake hiyo.

 “Naumia sana ninapoona watoto yatima japokuwa na mimi ni yatima lakini nia hiyo nilikuwa nayo, natamani sasa kukamilisha ndoto yangu hiyo kwa sababu naamini kabisa nitaweza na Mungu atanisimamia,