KULIKONI TENA NDOA YA TIWA SAVAGE NA TEE BILLZ???
upepo mchafu bado umeendelea kuvuruga
mahusiano na ndoa za mastaa nyota mbalimbali Duniani kama vile Tyga na
Blac Chyna, Future na Ciara na hivi karibuni tumesikia tena Mariah Carey
akidai talaka toka kwa mumewe Nick Canon huku kila mmoja akiwa na
sababu zake.
Tiwa
Savage alifunga ndoa ya kimila na mumewe ambaye pia ni meneja wake ‘Tee
Billz’ mnamo mwezi Novemba mwaka jana na kisha kufwatiwa na bonge la
sherehe iliyofanyika mjini Dubai mwezi Aprili mwaka huu.
kama hiyo haitoshi kwa upande wa Afrika mambo
yameonekana kutokuwa mazuri kwenye ndoa mbichi ya hitmaker wa Eminado,
mwanadafada Tiwa Savage kufuatia picha na ujumbe aliopost kupitia
ukurasa wake wa Instagram kuashiria kengele ya hatari.
”………. Which means you MrBillz @teebillz323 cannot return me to my parents or exchange me” aliandika Tiwa na kuambatanisha na picha kama anavyoonekana hapo chini.
Tiwa
Savage alifunga ndoa ya kimila na mumewe ambaye pia ni meneja wake ‘Tee
Billz’ mnamo mwezi Novemba mwaka jana na kisha kufwatiwa na bonge la
sherehe iliyofanyika mjini Dubai mwezi Aprili mwaka huu.
Bado haijaweza kufahamika wazi kama wawili
hao wameamua kukana kiapo walichokula mbele ya madhabau ya kanisa au la
ukizingatia siku za hivi karibu Tiwa amekuwa akionekana akihudhuria peke
yake shoo pamoja na matamasha.


Comments
Post a Comment