RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA MIAKA 50 YA JWTZ : CHEKI PICHA HAPA
Rais
Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la
Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali
Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika
kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi
Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani katika sherehe
zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya
Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kulia kwake ni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jeneral Davis Mwamunyange.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue
katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa
Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania,
Monduli, Septemba 6, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania
JWTZ baada ya Rais Jakaya Kikwete kutunuku nishani katika sherehe
zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya
Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kushoto ni Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na wapili kushoto ni waziri Mkuu Mstaafu
John Malecela.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Comments
Post a Comment